Retour

Explorez tous les épisodes du podcast SBS Swahili - SBS Swahili

Plongez dans la liste complète des épisodes de SBS Swahili - SBS Swahili. Chaque épisode est catalogué accompagné de descriptions détaillées, ce qui facilite la recherche et l'exploration de sujets spécifiques. Suivez tous les épisodes de votre podcast préféré et ne manquez aucun contenu pertinent.

Rows per page:

1–50 of 944

TitreDateDurée
Taarifa ya Habari 10 Septemba 202410 Sep 202400:17:24
Wauguzi na wakunga kote jimboni New South Wales, wanao ondoka kazini leo Jumanne 10 Septemba, kinyume na amri za tume ya mahusiano ya serikali ya viwanda kusitisha mgomo maramoja.
Embracing the wisdom of traditional Indigenous medicine - Kukumbatia maarifa ya tiba ya asili09 Sep 202400:10:18
Understanding and respecting Indigenous knowledge of medicine may be the key to providing more holistic and culturally sensitive care in today's healthcare setting. - Kuelewa nakuheshimu maarifa ya tiba ya asili, inaweza kuwa muhimu kwa kutoa kutoa huduma kamili na inayo faa kitamaduni katika mazingira yakisasa ya huduma ya afya.
Mali yaishtumu Ukraine kwa kuhusika katika shambulio nchini humo23 Aug 202400:08:03
Mgogoro wakidiplomasia ume zuka kati ya Mali na Ukraine baada ya viongozi wa taifa hilo la Magharibi Afrika, kuishtumu taifa hiyo ya Mashariki ya Ulaya kuhusika katika shambulio nchini humo.
Taarifa ya Habari 26 Aprili 202426 Apr 202400:17:12
Aliyekuwa mu Australia wa mwaka wa zamani Rosie Batty ame ihamasisha serikali ya New South Wales izingatie kuanzisha tume yakifalme kwa ukatili wa nyumbani.
Maveterani washerehekewa naku kumbukwa katika siku ya ANZAC26 Apr 202400:10:51
Maelfu ya watu walijumuika kote nchini Australia, na ng’ambo kutambua siku ya ANZAC.
Utofauti wa tamaduni zawa Anzac wa Australia24 Apr 202400:13:17
Kila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.
Shakilah afunguka kuhusu huduma za Rotary Safe Families Victoria24 Apr 202400:09:12
Shirika la Rotary Safe Families, hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.
Taarifa ya Habari 23 Aprili 202423 Apr 202400:18:03
Waziri Mkuu amewasifu wanajeshi wa Australia walio kuwa sehemu ya historia ya jeshi, katika eneo la Kokoda Track anapo jiandaa kutembea katika nyayo zamagwiji.
Jinsi yakupata leseni yakuendesha gari Australia23 Apr 202400:12:45
Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.
Nicky "kupitia Taunet Nelel vijana wengi wame anza kujijenga kimaisha"19 Apr 202400:12:17
Wakenya wanao ishi Australia watajumuika katika jiji la Dandenong jimboni Victoria, kuhudhuria hafla la shirika la Taunet Nelel.
Taarifa ya Habari 19 Aprili 202419 Apr 202400:15:34
Waziri Mkuu ame sisitiza umuhimu wa mshikamano wakijamii nchini Australia, kufuatia uchunguzi kwa shambulizi lakigaidi la kudungwa kisu ndani ya kanisa wiki hii.
Kuelewa haki yakuandamana Australia na usawa kati ya uhuru wakujieleza na majukumu yakijamii19 Apr 202400:11:17
Karibu kila wiki wa Australia walio na shauku huwa nje mitaani, wakipaza sauti zao waki andamana kuhusu maswala muhimu.
Taarifa ya Habari 18 Aprili 202418 Apr 202400:07:39
Askofu aliye dungwa kisu wakati wa ibada iliyo kuwa ikipeperushwa mubashara, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu shambulizi hilo linalo shukiwa kuwa lakigaidi, akisema ame msamehe kijana anaye shukiwa kuwajibika kwa shambulizi hilo.
Taarifa ya Habari 22 Agosti 202422 Aug 202400:06:07
Wazazi wapya hivi karibuni wataweza anza pokea malipo yao ya uzeeni juu ya malipo ya likizo ya wazazi yanayo wekezwa na serikali, sheria ziki tarajiwa kuwasilishwa ndani ya bunge la shirikisho hii leo Alhamis 22 Agosti.
Kuelewa sheria za vizuizi vya watoto pamoja na mazoezi bora16 Apr 202400:12:22
Hata kama Australia ina fahari yakuwa na moja ya viwango vya juu zaidi vya matumizi ya vizuizi vya watoto ndani ya gari, watoto wengi bado wana safiri ndani ya magari katika hali isiyo salama kutosha.
Taarifa ya Habari 15 Aprili 202415 Apr 202400:06:24
Polisi wamesema mwanaume aliye uwa watu sita kwa kuwadunga kisu ndani ya soko la Westfield Bondi Junction, ali waepuka wanaume kimakusudi nakuwalenga wanawake na watoto.
Polisi wamtambua mshambuliaji katika mauaji ya watu wengi ambako watu sita walifariki15 Apr 202400:07:58
Jeshi la polisi la New South Wales lime anza uchunguzi kwa shambulizi la kisu, lililo wauwa watu sita ndani ya soko kubwa katika vitongoji vya mashariki ya Sydney.
Taarifa ya Habari 12 Aprili 202412 Apr 202400:16:56
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ametetea kauli yake, yakufananisha umuhimu kwa jamii maandamano yanayo unga mkono wapalestina katika jengo la Sydney Opera House na mauaji ya halaiki ya Port Arthur.
Jinsi yakujiandaa kwa dhoruba na mafuriko Australia12 Apr 202400:14:13
Katika muongo ulio pita, Australia imepitia matukio mabaya sana ya mafuriko katika historia ya hivi karibuni. Kati ya miaka ya 2020-2022, sehemu kubwa zime zama chini ya maji mara tatu au mara nne.
Taarifa ya Habari 9 Aprili 202409 Apr 202400:15:22
Shirika la ustawi wa jamii lina omba pawe ongezeko kwa malipo ya hifadhi ya jamii baada ya utafiti wayo mpya kupata kuwa, wa Australia wanao pokea malipo ya ustawi wanakabiliana na hali ngumu kumudu moja ya ongezeko gumu zaidi la gharama ya maisha katika miongo.
Taarifa ya Habari 8 Aprili 202408 Apr 202400:08:16
Kiongozi wa chama cha Nationals David Littleproud amesema anaunga mkono adhabu kwa tabia mbaya za maduka makubwa ila, ameongezea kuwa mabadiliko hayo hayata jiri haraka yakutosha kwa watumiaji.
Mkurugenzi afunguka kuhusu ziara ya Australia08 Apr 202400:17:02
Abel Mutua amejitengenezea nafasi yakipekee katika sekta ya sanaa Afrika Mashariki.
Mgomo wamadaktari wa tikisa sekta ya matibabu Kenya23 Mar 202400:06:47
Muungano wa Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDU) ulizindua mgomo wa kitaifa ukitaka mazingira bora ya kazi na nyongeza ya mishahara Machi 13.
Taarifa ya Habari 22 Machi 202422 Mar 202400:15:58
Waziri wa Ulinzi Richard Marles amesema uchumi utafaidi kupitia makubaliano yakupiga jeki uzalishaji wa manowari yanayo tumia nishati ya nyuklia ya Uingereza kama sehemu ya mkataba wa AUKUS.
#66 Maswali yaku uliza unapo tazama nyumba unayo taka kodi21 Aug 202400:17:49
Jifunze jinsi yaku uliza maswali, unapo tazama nyumba unayo tarajia ku kodi.
Jinsi yakuandaa ombi la kazi: vidokezo vya mafanikio22 Mar 202400:11:08
Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.
The importance of understanding cultural diversity among Indigenous peoples - Umuhimu wa kuelewa tofauti zakitamaduni miogoni mwa wa Australia wa kwanza22 Mar 202400:09:20
Understanding the diversity within the First Nations of Australia is crucial when engaging with Aboriginal and Torres Strait Islander peoples and building meaningful relationships. - Kuelewa utofauti ndani ya jumuiya yawa Australia wa Kwanza ni muhimu unapo jihusisha nawa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait pamoja nakujenga mahusiano yenye maana.
Taarifa ya Habari 19 Machi 202419 Mar 202400:18:09
Serikali ya Albanese imesema itapinga kuachiwa huru kwa zaidi ya watu 100 ambao wako ndani ya kizuizi cha uhamiaji, katika kesi nyingine muhimu itakayo fikishwa mbele ya mahakama kuu.
Wasiwasi wachukua nafasi ya zawadi za Pasaka kwa famiia zinazo pitia wakati mgumu19 Mar 202400:08:33
Wakati wa Australia wengi wana jiandaa kwa likizo ndefu ya Pasaka, mashirika yamisaada ya chakula nayo yana jiandaa kwa muda wa shughuli nyingi zaidi ya mwaka.
Taarifa ya Habari 18 Machi 202418 Mar 202400:06:02
Vizuizi vya uhamiaji vinatarajiwa kutawala siasa za Australia wiki hii wakati serikali ina jiandaa kukabiliana na kesi nyingine ndani ya mahakama kuu, ambako watu wingine 100 wanaweza achiwa huru.
Taarifa ya Habari 15 Machi 202415 Mar 202400:16:23
Mamlaka jimboni Victoria wame zindua uchunguzi kwa mgodi ulio bomoka mjini Ballarat naku uwa mwanaume mmoja pamoja nakumuacha mwingine akipigania maisha yake.
Umuhimu wa kuelewa tofauti zakitamaduni miogoni mwa wa Australia wa kwanza15 Mar 202400:12:03
Utofauti tajiri ndani ya umma wa waAustralia wa kwanza ni kipengele cha kuvutia, kupinga dhana potofu ya kawaida kuwa watu wote ambao niwa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait wote wako sawa.
Taarifa ya Habari 14 Machi 202414 Mar 202400:05:27
Polisi wame pata mwii wa mwanaume aliye fariki ndani ya mgodi ulio bomoka Ballarat, katika kanda ya Victoria.
Rahab"Serikali imesikia nakuchukulia hatua kilio chetu kuhusu utapeli"12 Mar 202400:10:29
Viongozi wa makampuni na biashara kutoka Kenya wame tua mjini Melbourne kushiriki katika kongamano la biashara.
Taarifa ya Habari 12 Machi 202412 Mar 202400:20:48
Serikali imesema imetupilia mbali kutumia ushuru kuwekeza mfumo wa malezi ya wazee, baada yakutolewa kwa ripoti ya nguvu kazi katika sekta hiyo.
Aina mpya ya kirusi cha mpox chatambuliwa Pakistan, umakini wa himizwa na hatua ziongezwe20 Aug 202400:09:09
Kesi mpya ya kirusi cha mpox imeripotiwa nchini Pakistan, baada ya kesi kama hiyo kuripotiwa nchini Sweden.
Ramadan na Eid ni nini na husherehekewaje Australia12 Mar 202400:11:23
Australia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.
Taarifa ya Habari 11 Machi 202411 Mar 202400:04:54
Polisi wamesema juhudi zakumtafuta mvulana wa miaka 12 katika eneo la magharibi Sydney, zimefika katika hatua muhimu wasiwasi kuhusu ustawi wake ukiendelea kuongezeka.
Kotnyin afunguka kuhusu siku ya kimataifa ya wanawake08 Mar 202400:08:47
Serikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya wanawake.
Taarifa ya Habari 8 Machi 202408 Mar 202400:18:22
Serikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya Wanawake, ripoti hiyo inaonesha pengo la malipo ya jinsia iko katika kiwango cha chini kwa asilimia 12 ila tofauti zingine kubwa zimesalia.
Kukabiliana na habari potofu: jinsi yakutambua na kukabiliana na habari za uongo08 Mar 202400:13:45
Katika zama ambapo habari husafiri kwa kasi ya mwanga, kutofautisha ukweli kwa uongo imekuwa changamoto kubwa.
Wanyika afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya Angélique Kidjo katika Sydney Opera House06 Mar 202400:10:11
Gwiji wa Muziki kutoka Benin Bi Angélique Kidjo ana tarajiwa kuwa na tamasha kubwa ndani ya Sydney Opera House usiku wa Jumatano 6 Machi 2024.
Taarifa ya Habari 5 Machi 202405 Mar 202400:17:35
Anthony Albanese anatarajiwa kuweka wazi sera mpya zakupiga jeki ushiriki wa biashara za Australia, katika ukanda wa Kusini mashariki Asia, kongamano la ASEAN linapo anza leo mjini Jumanne Machi 5 mjini Melbourne.
Wito watolewa katika wiki yakitaifa ya uelewa zaidi wa ugonjwa wa vifaa vyakusafirisha damu ndani ya moyo05 Mar 202400:09:43
Wiki ya tarehe 26 Feb hadi 3 Machi, ni wiki yakutoa uelewa wa ugonjwa wa moyo na kifaa kinacho tumiwa kusafirisha hewa au damu moyoni.
Taarifa ya Habari 4 Machi 202404 Mar 202400:07:56
Waziri mkuu Anthony Albanese amesema uchaguzi mdogo wa Dunkley umethibitisha kuwa wa Australia hawa vutiwi na kampeni hasi.
Taarifa ya Habari 1 Machi 202401 Mar 202400:18:12
Shirika la ujasusi la Australia limetetea uamuzi wayo wakuto weka wazi jina la mwanasiasa wa zamani ambaye ame husishwa na kundi la ujasusi lakigeni.
Taarifa ya Habari 20 Agosti 202420 Aug 202400:19:44
Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amesema utafiti mpya ulio agizwa na chama chake una onesha kuwa wa Australia wanao fanya kazi za kawaida hawa wezi mudu kununua nyumba zao wenyewe.
Tanzania yaomboleza kifo cha Hayati Mwinyi01 Mar 202400:07:33
Viongozi mbali mbali nchini Tanzania, wana endelea kutoma salamu za kwa jamaa na familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Alhamisi wiki hii.
Taarifa ya Habari 27 Februari 202427 Feb 202400:19:46
Asilimia 90 au zaidi ya waajiri katika sekta za madini, umeme, maji, huduma za taka, fedha na bima, wana pengo la malipo linalo wapendelea wanaume.
Shakilah" lengo letu si kutenganisha familia, ila nikufanya ziwe imara"27 Feb 202400:24:07
Shirika la Rotary Safe Families hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.
© My Podcast Data · Projet indépendant · Données issues d'Apple & Spotify